Sina Beef Na Vanessa Mdee. Rayvanny


zezeta

Verse 1
Baby Moo
Nifanye Big G Unitafune
Hama niwe Sindano
Nawe Uwe Uzi
Nguo Nifume
Ama Niwe Ndoo
Uwe Maji Yangu
Wanga Wanune
Nifanye Kucha
Kama Ukiwa Shwaa
Me Nikukune

Bridge
Sema Mama
Niwe Duka La Vipodozi
Nikuvutie Kwa Kila Kitu
Chumbani Uwe Simu
Unalia Hata Niki Kubipu
Nisi Mame Kama Kinyoziii
Niki Kunyoa Unanisifu
Niwe Godolo La Shuka
Nilale Nawe Kila Usiku
     


Chorus
Shika Fungu
Gali La Bosi Wangu
Kwako Zezeta Zezeta
Niko Radhi
Nifunge Ule Wewe
Mimi Zezeta Zezeta
Au huna taka hati
nyumba ya baba yangu
Kwako Zezeta Zezeta
Kifalanga nibebe
kama mwewe
Mimi Zezeta Zezeta

Verse 2
Mama
Sitaki paka na panya
Vitazaa nini
Me nataka niwe mafuta
Ujipakaze kote mwilini
Eyeeee
Ama niwe taulo
Kanga raini
uki oga nina kufuta
kutoka juu
mpaka kwa chini
masharaa ulivyo
mwenzako  o taabani
naishi humu chumbani
siendi varandani
tenaaaa
siku fanyi vocha
soko dukaniii
nikutumie mchumbaa
nikutupe jalalani

Bridge
Sema Mama
Niwe Duka La Vipodozi
Nikuvutie Kwa Kila Kitu
Chumbani Uwe Simu
Unalia Hata Niki Kubipu
Nisi Mame Kama Kinyoziii
Niki Kunyoa Unanisifu
Niwe Godolo La Shuka
Nilale Nawe Kila Usiku



Chorus
Shika Fungu
Gali La Bosi Wangu
Kwako Zezeta Zezeta
Niko Radhi
Nifunge Ule Wewe
Mimi Zezeta Zezeta
Au huna taka hati
nyumba ya baba yangu
Kwako Zezeta Zezeta
Kifalanga nibebe
kama mwewe
Mimi Zezeta Zezeta


Maoni