Msani Wa musiki wa Hiphop Mandia aeleza Jinsi Hanavyo Kubali Utawala Wa Raisi Wa Tanzania Dr. John Magufuri Katika Wimbo Wake Mpya Kabisa Wa JPM Alisema “Ukweli Sikujua Kama Rais Magufuri Hange Weza Kutekeleza Yale Aliyo Yasema Wakati Wa Kampeni Zake Lakini Mpaka Sasa Nimeona Utekelezaji Wake. Hinaonesha Jinsi Raisi Magufuri Alivyo Kuwa Na Chachu Ya Mabadiliko Ya Kweli” produced by Lusajo Katika Studio Za Cromatic Studuo
Lyrics
Song: Jpm
Artist: Mandia
Verse 1
Japo Nilipiga Kula Ila Sikuku Chagua Wewe
Chama Chako Ndicho Kilifanya
Ni Si Kuelewe
Nilikuzomea Kila Ulipo Niomba Kula Paka Uli Apia
Lakini Niliona auna Sela
Maskani Nyingi Vijiwe Vingi Vili Kukataa
Hatuku Amini Kama Ungeweza Kuongoza Ki Ufasaa
Ulipiga Pushapu Kwenye Majukwaa Ulicheza
Mapanga Shaa Mpaka Watu Walishangaa
Uliniomba Nikupigie Kula Kwa Style Nyingi Nilikataa
Koze Kwenye Chama Chako Kuna Wezi Wengi
Huwezi Kuwa Na Bii Bila Kupitia Msoto
Hakuna Mafanikio Bila Kupitia Changa
Moto
Kutumbua Majipu Kwako Niliona Story
Nili Amini Ukisha Ingia Kwenye Mfumo Kwisha Habari
Chama Chako Ndo Kiliniondoa Imani
Sela Warizo Kuwa Wakitupa Hawatili Mahanani
Nili Amini Kwenye CCm Hakuna Mabadiliko
Mfumo Wa Chama Chako Unge Ondoa Adhima Yako
Miaka Mingi Maskini Tume Kuwa Tuki Zaraulika
Dito Pile Alimpiga Useni Mbonde
Shaba Ya Kichwa
Na Kumuuwa Bila Sehemu Yoyote Ile Kufikishwa
Chorus
Jpm John Pombe
Is My
President
Jpm John Pombe
Huyu Ndo Raisi Wangu
Rudia…………………
Verse 2
Nchi Ime Waka Usicho Tegemea Sasa Tunaona
Kasi Ya Jpm Inatikisa Kila Kona
Ka Hanza Bandari Kwaki Asi Kikubwa
Ka Wini
Kaja Secta Za
Uma Wazembe Kapiga Chini
Kwa Sasa Eshima Imeludi Makazini Wamesha Jua
Si Ndo Mabosi Wao Tunao Waweka Mjini
Anakusanya Kodi Kazuiya Mchanga Wa
Madini
Vijana Walio Athiriwa
Na Viroba Kapiga Chini
Askari Magereza Walikuwa Wanauziwa Kombati
Papa Musofe Alikuwa Na Nguvu Zaidi Ya Nyati
Ali wa thurumu Watu Malizao
Na Bado
Aliwauwa Polisi Na Mahakama Zote Ali Nunua
Alifanya Umafya Wa
Aina Nyingi Sana Nyi Mna Jua
Ila Selikari Ya
Jpm Wote Wame Sizi Wame Lojeka
Wamegeuzwa Mfano Wa
Ndizi Walio dhurumiwa
Mali Zao
Sasa Wana Cheka Wakulima Wamerudishiwa Eka Kwa Ma Eka
Wauza Unga Mjini Wote Wamepagawa
Bangi Kila Kukicha Hina Fyekwa
Kama Kawa
Wauza Unga Wame Nunua Wana Muziki Na
Wana Habari Ili Kuiponda Selekali
Laki Wame Feli Hakuna Selekali Ambayo
Aina Mapungufu Yapo Mazuri Mengi Ila
Nyi Mna Yaona Madhaifu
Rudia Kitikio............................
End
Asante Sana
Maoni
Chapisha Maoni