Lady jay dee
Baby
Sasa naweza kusema na
kupendaa
Hoooooo
Nipo tayali kukupa
moyo wangu
Eeh hiii
Na ujue yakwamba na
kupenda
Naniko tayali kwenda
popote
Usinifanye nikatesekaaaa
Ohh nooo
Usinifanye nikaibika
Ohh nooo
Mpenzi wangu sitakutupa
Ohh nooo
Ukinibeba nitabebekaaa
Ohh yeeee
Chores
Moyo wangu nakupenda
sana
Baby
(ooh huo huuuu)
Baby
baby
oh
ma baby haaaaaa
Moyo wangu nakupenda
sana
Baby
(eeeeh )
Baby
baby
yo
ma baby
hoooo
nanana
vers
2
hakuna
wa kuja kati yetu
hakuna
kitu kibaya kati yetuuu
yote
milimaa naya mabonde
haaa
aaah
tutapihiitaaa
usiniache
nikateseka
Ohh nooo
usiniache
nikahibika
Ohh nooo
Mpenzi wangu sitakutupa
Ohh nooo
Ukinibeba nitabebekaaa
Ohh yeeee
Moyo wangu nakupenda
sana
Baby
(ooh huo huuuu)
Baby
baby
oh
ma baby haaaaaa
Moyo wangu nakupenda
sana
Baby
(eeeeh )
Baby
baby
yo
ma baby
hoooo
nanana
Maoni
Chapisha Maoni